Monday 26 March 2012

MILLEN MAGESE MAMODO WAKE WATATU

Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Millen happiness Magese akipiga picha ya pamoja na washindi watatu waliopata tiketi ya kuonyesha mavazi katika wiki ya mitindo ya Afrika Kusini, Victor Casmir, Victoria Casmir na Anastazia Gura katika picha ya pamoja. wengine katika picha ni Aminat Ayinde kutoka kampuni ya AmericaNext top model cycle 12 (wa kwanza kushoto), Ritha Poulsen (wa kwanza kulia) na Mustapha Hassanali aliyesimama nyuma.

No comments: