Sunday 19 May 2013

MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Familia ya Mzee Ally Kleist Sykes, inasikitiska kutangaza msiba wa baba yao mzazi pichani Mzee Sykes, kilichotokea leo Hospitali ya Agha Khan Mjini Dar, Msiba upo Mbezi nyumbani kwa Marehemu na mazishi yatafanyika kesho baada ya sala za maombolezo kwenye Msikiti wa Kipata, Dar.

No comments: