Monday 10 December 2012

RAY C NA FAMILIA YAKE WAMSHUKURU RAIS KIKWETE


  Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila 'RAY C' akimshukuru Rais Kikwete kwa msaada wa matibabu aliompatia ikulu jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C (wa tatu kushoto), Mama yake mzazi Ray C Bibi Margareth Mtweve (kushoto) na Sarah Mtweve Dada yake Ray C.Picha na Freddy Maro-IKULU-

1 comment: