Saturday 9 June 2012

DAMU YA MJOMBA IKO MTAANI



"Damu ya Mjomba" ni filamu inayomuhusu binti mmoja aliyeolewa na kukaa muda mrefu bila kupata mtoto, hivyo kwenda kwa mganga wa kienyeji na mganga akamwambia ili apate mtoto ni lazima apeleke damu ya mjomba wake, je alifanikiwa?? hayo ni maelezo tu kwa ufupi.

MPIGIE
Nusraf Semtawa Tel: "07405777969"

No comments: