Sunday 20 May 2012

VIRGINIA MOKILI AWA MISS REDDS HIGHER LEARNING 2012 DODOMA


Redds Miss Higher Learning 2011 Jackline Kinabo (aliyekaa) ambae amemaliza muda wake akiwa tayari kumvalisha taji Mshindi wa Miss Redds Higher Learning 2012 katika ukumbi wa Kilimani usiku wa kuamkia jana.
Mshindi wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma Mwaka 2012 Virginia Mokili (Katikakati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili wa Taji hilo Jenipher Mafuru (Wa Kwanza Kulia) na Mshindi wa tatu Lilian Maleo (Wa Kwanza Kushoto) mara baada ya Shindano Kumalizika.…

No comments:

Post a Comment